Back to top

1 Bedroom House at Kimara for Rent

1 Bedroom House at Kimara for Rent

Chumba sebule jiko na choo ndani maji umeme inajitegemea yenyewe nyumb Ipo kimara tembon kutoka barabarani dakika 5 nyumb ipo karibu na barabarani kabisa hiyo bei laki mbili Kodi miezi 6 tu